Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 26:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

21 Wana wa Ladani; wana wa Wagershoni waliokuwa wa Ladani; wakuu wa koo za mababa waliokuwa wa Ladani, Mgershoni; Yehieli.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Ladani, mmoja wa ukoo wa Gershoni, alikuwa babu wa baadhi ya jamaa, miongoni mwao ikiwamo jamaa ya mwanawe Yehieli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Ladani, mmoja wa ukoo wa Gershoni, alikuwa babu wa baadhi ya jamaa, miongoni mwao ikiwamo jamaa ya mwanawe Yehieli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Ladani, mmoja wa ukoo wa Gershoni, alikuwa babu wa baadhi ya jamaa, miongoni mwao ikiwamo jamaa ya mwanawe Yehieli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Wazao wa Ladani, waliokuwa Wagershoni kupitia Ladani na waliokuwa viongozi wa jamaa za Ladani Mgershoni, walikuwa Yehieli,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Wazao wa Ladani, waliokuwa Wagershoni kupitia Ladani na waliokuwa viongozi wa jamaa za Ladani Mgershoni, walikuwa Yehieli,

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 26:21
7 Marejeleo ya Msalaba  

Wa Wagershoni; Ladani, na Shimei.

Wana wa Ladani; Yehieli mkuu wao, na Zethamu, na Yoeli, watu watatu.

Na katika Walawi; Ahia mtunzaji wa hazina ya nyumba ya Mungu, pamoja na hazina ya vitu vilivyowekwa wakfu.

Wana wa Yehieli; Zethamu, na Yoeli nduguye, walikuwa watunzaji wa hazina ya nyumba ya BWANA.

Na wale walioonekana kuwa na vito vya thamani wakavitoa vitiwe katika hazina ya nyumba ya BWANA, chini ya mkono wa Yehieli, Mgershoni.

Na haya ndiyo majina ya wana wa Gershoni; Libni, na Shimei.

na mwanawe huyo ni Ladani, na mwanawe huyo ni Amihudi, na mwanawe huyo ni Elishama;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo