1 Mambo ya Nyakati 26:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Hizo ndizo zamu za mabawabu; wa wana wa Wakora, na wa wana wa Merari. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Haya ndiyo makundi ya mabawabu miongoni mwa ukoo wa Kora na wazawa wa Merari waliofanya kazi ya ubawabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Haya ndiyo makundi ya mabawabu miongoni mwa ukoo wa Kora na wazawa wa Merari waliofanya kazi ya ubawabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Haya ndiyo makundi ya mabawabu miongoni mwa ukoo wa Kora na wazawa wa Merari waliofanya kazi ya ubawabu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Hii ilikuwa migawanyo ya mabawabu waliokuwa wazao wa Kora na wa Merari. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Hii ndiyo iliyokuwa migawanyo ya mabawabu waliokuwa wazao wa Kora na wa Merari. Tazama sura |