1 Mambo ya Nyakati 26:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Penye Parbari upande wa magharibi, walikuwapo wanne darajani, na wawili huko Parbari. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Kwenye banda zuri lililokuwa upande wa magharibi, kulikuwa na mabawabu wanne barabarani, na wawili kwenye banda lenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Kwenye banda zuri lililokuwa upande wa magharibi, kulikuwa na mabawabu wanne barabarani, na wawili kwenye banda lenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Kwenye banda zuri lililokuwa upande wa magharibi, kulikuwa na mabawabu wanne barabarani, na wawili kwenye banda lenyewe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kuhusu ukumbi kuelekea magharibi, kulikuwa na wanne barabarani na wawili kwenye ukumbi wenyewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kuhusu ukumbi kuelekea magharibi, kulikuwa na wanne barabarani na wawili kwenye ukumbi wenyewe. Tazama sura |