1 Mambo ya Nyakati 26:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Ya Obed-edomu ya kusini; na ya wanawe nyumba ya akiba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Obed-edomu aliangukiwa na kura ya lango la kusini, na ya wanawe, ghala. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Obed-edomu aliangukiwa na kura ya lango la kusini, na ya wanawe, ghala. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Obed-edomu aliangukiwa na kura ya lango la kusini, na ya wanawe, ghala. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Kura ya Lango la Kusini ikamwangukia Obed-Edomu, nayo kura ya maghala ikawaangukia wanawe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Kura ya Lango la Kusini ikamwangukia Obed-Edomu, nayo kura ya maghala ikawaangukia wanawe. Tazama sura |