Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 26:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Nao wakapigiwa kura kwa ajili ya kila lango, wadogo na wakubwa kwa pamoja, kwa kufuata koo za baba zao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Kila jamaa, bila kujali wingi, ilipiga kura kuchagua lango watakalosimamia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Kila jamaa, bila kujali wingi, ilipiga kura kuchagua lango watakalosimamia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Kila jamaa, bila kujali wingi, ilipiga kura kuchagua lango watakalosimamia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Kura zilipigwa kwa kila lango, kufuatana na jamaa zao, wakubwa kwa wadogo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Kura zilipigwa kwa kila lango, kufuatana na jamaa zao, wakubwa kwa wadogo.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 26:13
5 Marejeleo ya Msalaba  

Hao nao wakapigiwa kura vile vile, kama ndugu zao wana wa Haruni, machoni pa Daudi mfalme, na Sadoki, na Ahimeleki, na wakuu wa koo za baba za makuhani na za Walawi; koo za baba za mkuu, vile vile kama za nduguye mdogo.


Ndivyo walivyogawanyika kwa kura, wao kwa wao; kwani kulikuwa na wakuu wa patakatifu, na watumishi wa Mungu, wa wana wa Eleazari, na wa wana wa Ithamari pia.


Wakapigiwa kura ya huduma zao, kwa pamoja, mdogo kwa mkubwa, mwalimu kwa mwanafunzi.


Katika hao zilikuwa zamu za mabawabu, yaani, katika hao wakuu, wenye huduma kama ndugu zao, wa kutumika katika nyumba ya BWANA.


Kura ya lango la mashariki ikamwangukia Meshelemia. Ndipo wakamtupia kura Zekaria mwanawe, mshauri mwenye busara; na kura yake ikamtokea ya kaskazini.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo