Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 25:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

9 Kura ya kwanza ikamtokea Yusufu, kwa Asafu; ya pili Gedalia; yeye na nduguze na wanawe, kumi na wawili;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Kura ya 1 ilimwangukia Yosefu wa jamaa ya Asafu; ya 2 Gedalia pamoja na ndugu zake na wanawe kumi na wawili;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Kura ya 1 ilimwangukia Yosefu wa jamaa ya Asafu; ya 2 Gedalia pamoja na ndugu zake na wanawe kumi na wawili;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Kura ya 1 ilimwangukia Yosefu wa jamaa ya Asafu; ya 2 Gedalia pamoja na ndugu zake na wanawe kumi na wawili;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Kura ya kwanza, ambayo ilikuwa kwa ajili ya Asafu, ilimwangukia Yusufu, wanawe na jamaa zake, 12; Ya pili ikamwangukia Gedalia, yeye na wanawe pamoja na jamaa zake, 12;

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 25:9
4 Marejeleo ya Msalaba  

na pamoja nao ndugu zao kwa cheo cha pili, Zekaria, na Yaasieli, na Shemiramothi, na Yehieli, na Uni, na Eliabu; na Benaya, na Maaseya, na Matithia, na Elifelehu, na Mikneya, na Obed-edomu, na Yeieli, mabawabu.


Tena Daudi na makamanda wa jeshi wakatenga kwa utumishi baadhi ya wana wa Asafu, na wa Hemani, na wa Yeduthuni, watakaotabiri kwa vinubi na vinanda, na matoazi; hii ndiyo hesabu ya wafanya kazi kulingana na utumishi wao;


ya tatu Zakuri, wanawe na nduguze, kumi na wawili;


Wakapigiwa kura ya huduma zao, kwa pamoja, mdogo kwa mkubwa, mwalimu kwa mwanafunzi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo