Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 25:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

7 Na hesabu yao, pamoja na ndugu zao waliofundishwa kumwimbia BWANA, wote waliokuwa mastadi, walikuwa mia mbili na themanini na wanane.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Idadi yao pamoja na wale ndugu zao Walawi waliofundishwa kumwimbia Mwenyezi-Mungu, wote waliokuwa stadi, ilikuwa 288.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Idadi yao pamoja na wale ndugu zao Walawi waliofundishwa kumwimbia Mwenyezi-Mungu, wote waliokuwa stadi, ilikuwa 288.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Idadi yao pamoja na wale ndugu zao Walawi waliofundishwa kumwimbia Mwenyezi-Mungu, wote waliokuwa stadi, ilikuwa 288.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Pamoja na ndugu zao, wote walikuwa wamefundishwa na kuwa stadi wa uimbaji kwa Mwenyezi Mungu. Idadi yao walikuwa mia mbili na themanini na nane (288).

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Pamoja na ndugu zao wote walikuwa wamefundishwa na kuwa stadi wa uimbaji kwa bwana. Idadi yao walikuwa 288.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 25:7
3 Marejeleo ya Msalaba  

na pamoja nao Hemani na Yeduthuni wenye baragumu na matoazi, kwa hao watakaovumisha sauti, na vinanda kwa ajili ya hizo nyimbo za Mungu; na hao wana wa Yeduthuni wawepo mlangoni.


na elfu nne walikuwa mabawabu; na elfu nne walimsifu BWANA kwa vinanda, nilivyovifanya, alisema Daudi, vya kumsifia.


Nao watu wakatenda kazi kwa uaminifu; na wasimamizi wao walikuwa Yahathi na Obadia, Walawi, wa wana wa Merari; na Zekaria na Meshulamu, wa wana wa Wakohathi, ili kuihimiza kazi; na wengine katika Walawi, wote waliokuwa mastadi wa kupiga vinanda.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo