1 Mambo ya Nyakati 24:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Na wana wa Mushi; Mali, na Ederi, na Yeremothi. Hao ndio wana wa Walawi, kwa kufuata koo za baba zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Mushi alikuwa na wana watatu: Mahli, Ederi na Yeremothi. Wao ni wazawa wa Lawi kulingana na koo zao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Mushi alikuwa na wana watatu: Mahli, Ederi na Yeremothi. Wao ni wazawa wa Lawi kulingana na koo zao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Mushi alikuwa na wana watatu: Mahli, Ederi na Yeremothi. Wao ni wazawa wa Lawi kulingana na koo zao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Nao wana wa Mushi: walikuwa Mahli, Ederi na Yeremothi. Hawa walikuwa Walawi kulingana na jamaa zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Nao wana wa Mushi: walikuwa Mahli, Ederi na Yeremothi. Hawa walikuwa Walawi kulingana na jamaa zao. Tazama sura |