1 Mambo ya Nyakati 24:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Akawagawanya Daudi, na Sadoki wa wana wa Eleazari, na Ahimeleki wa wana wa Ithamari, katika utumishi kwa kadiri ya huduma yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Mfalme Daudi aliwapanga wazawa wa Aroni katika makundi kufuatana na huduma zao. Alisaidiwa kufanya hivyo na Sadoki, mzawa wa Eleazari, na Ahimeleki, mzawa wa Ithamari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mfalme Daudi aliwapanga wazawa wa Aroni katika makundi kufuatana na huduma zao. Alisaidiwa kufanya hivyo na Sadoki, mzawa wa Eleazari, na Ahimeleki, mzawa wa Ithamari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mfalme Daudi aliwapanga wazawa wa Aroni katika makundi kufuatana na huduma zao. Alisaidiwa kufanya hivyo na Sadoki, mzawa wa Eleazari, na Ahimeleki, mzawa wa Ithamari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Akisaidiwa na Sadoki mwana wa Eleazari na Ahimeleki mwana wa Ithamari, Daudi aliwapanga wazao wa Haruni katika migawanyo kufuatana na wajibu wa huduma zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Akisaidiwa na Sadoki mwana wa Eleazari na Ahimeleki mwana wa Ithamari, Daudi aliwapanga wazao wa Haruni katika migawanyo kufuatana na wajibu wa huduma zao. Tazama sura |