1 Mambo ya Nyakati 24:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Huu ndio utaratibu wa zamu zao katika huduma yao, ya kuingia nyumbani mwa BWANA kwa kadiri ya agizo lao, kwa mkono wa Haruni baba yao, kama BWANA, Mungu wa Israeli, alivyomwamuru. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Hawa waliandikishwa kulingana na kazi zao kuingia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu kutoa huduma, kadiri ya utaratibu waliowekewa na Aroni babu yao, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Hawa waliandikishwa kulingana na kazi zao kuingia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu kutoa huduma, kadiri ya utaratibu waliowekewa na Aroni babu yao, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Hawa waliandikishwa kulingana na kazi zao kuingia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu kutoa huduma, kadiri ya utaratibu waliowekewa na Aroni babu yao, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Huu ulikuwa ndio utaratibu wao uliokubalika wa kuhudumu walipoingia katika Hekalu la Mwenyezi Mungu, kulingana na masharti waliyoelekezwa na Haruni baba yao, kama Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, alivyokuwa amemwamuru. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Huu ulikuwa ndio utaratibu wao uliokubalika wa kuhudumu walipoingia katika Hekalu la bwana kulingana na masharti waliyoelekezwa na Haruni baba yao, kama bwana, Mungu wa Israeli, alivyokuwa amemwamuru. Tazama sura |