1 Mambo ya Nyakati 23:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Wana wa Ladani; Yehieli mkuu wao, na Zethamu, na Yoeli, watu watatu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Ladani alikuwa na wana watatu: Yehieli mkuu wao, Zethamu na Yoeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Ladani alikuwa na wana watatu: Yehieli mkuu wao, Zethamu na Yoeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Ladani alikuwa na wana watatu: Yehieli mkuu wao, Zethamu na Yoeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Wana wa Ladani walikuwa watatu: Yehieli wa kwanza, Zethamu na Yoeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Wana wa Ladani walikuwa watatu: Yehieli wa kwanza, Zethamu na Yoeli. Tazama sura |