Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 23:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

30 nao wasimame kila asubuhi kumshukuru na kumsifu BWANA, na jioni vivyo hivyo;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 na walisimama kumshukuru na kumsifu Mwenyezi-Mungu kila siku asubuhi na jioni,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 na walisimama kumshukuru na kumsifu Mwenyezi-Mungu kila siku asubuhi na jioni,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 na walisimama kumshukuru na kumsifu Mwenyezi-Mungu kila siku asubuhi na jioni,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Pia ulikuwa wajibu wao kila asubuhi kumshukuru na kumsifu Mwenyezi Mungu. Iliwapasa pia kufanya hivyo jioni

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Pia ulikuwa wajibu wao kila asubuhi kumshukuru na kumsifu bwana. Iliwapasa pia kufanya hivyo jioni

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 23:30
19 Marejeleo ya Msalaba  

tena kazi ya mikate ya wonyesho, na ya unga mwembamba wa sadaka ya unga; ikiwa ni wa maandazi yasiyochachwa, au wa yale yaliyotokoswa, au wa yale yaliyookwa; na kazi ya kila namna ya kipimo na cheo;


na kumtolea BWANA sadaka zote za kuteketezwa, katika siku za sabato, za mwezi mpya, na za sikukuu zilizoagizwa, kwa hesabu kadiri ya agizo lake, daima mbele za BWANA;


na elfu nne walikuwa mabawabu; na elfu nne walimsifu BWANA kwa vinanda, nilivyovifanya, alisema Daudi, vya kumsifia.


Nao walilala kandokando nyumbani mwa Mungu, kwa kuwa ulinzi wake ulikuwa juu yao, nayo ilikuwa kazi yao kuyafungua malango kila siku asubuhi.


Tena hawa ndio waimbaji, wakuu wa koo za baba zao katika Walawi, ambao walikaa vyumbani, kisha walikuwa hawana kazi nyingine; kwa kuwa walifanya kazi yao mchana na usiku.


Hezekia akaziweka zamu za makuhani na Walawi kwa zamu zao, kila mtu kwa kadiri ya huduma yake, makuhani na Walawi pia, kwa sadaka za kuteketezwa na kwa sadaka za amani, kutumika, na kushukuru, na kusifu, malangoni mwa kambi ya BWANA.


na kuimba wimbo mpya mbele ya kile kiti cha enzi, na mbele ya wale wenye uhai wanne, na wale wazee; wala hakuna mtu aliyeweza kujifunza wimbo ule, ila wale elfu mia moja na arubaini na nne, walionunuliwa katika nchi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo