1 Mambo ya Nyakati 23:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Nao wakahesabiwa Walawi wenye miaka thelathini na zaidi; na jumla yao kwa vichwa, mtu kwa mtu, ikawa elfu thelathini na nane. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Walawi wote wanaume wenye umri wa miaka thelathini na zaidi, wakahesabiwa. Jumla yao ilikuwa 38,000. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Walawi wote wanaume wenye umri wa miaka thelathini na zaidi, wakahesabiwa. Jumla yao ilikuwa 38,000. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Walawi wote wanaume wenye umri wa miaka thelathini na zaidi, wakahesabiwa. Jumla yao ilikuwa 38,000. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Walawi waliokuwa na umri wa miaka thelathini au zaidi walihesabiwa, nayo hesabu ya wanaume ilikuwa elfu thelathini na nane. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Walawi waliokuwa na umri wa miaka thelathini au zaidi walihesabiwa, nayo hesabu ya wanaume ilikuwa 38,000. Tazama sura |