1 Mambo ya Nyakati 23:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Akafa Eleazari, wala hakuwa na wana, ila binti tu; na ndugu zao, wana wa Kishi, wakawaoa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Eleazari alifariki bila kupata mtoto wa kiume, ila mabinti tu. Mabinti hao waliolewa na binamu zao, wana wa Kishi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Eleazari alifariki bila kupata mtoto wa kiume, ila mabinti tu. Mabinti hao waliolewa na binamu zao, wana wa Kishi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Eleazari alifariki bila kupata mtoto wa kiume, ila mabinti tu. Mabinti hao waliolewa na binamu zao, wana wa Kishi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Eleazari akafa bila ya kuwa na wana: alikuwa na binti tu. Binamu zao, wana wa Kishi, wakawaoa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Eleazari akafa bila ya kuwa na wana: alikuwa na binti tu. Binamu zao, wana wa Kishi, wakawaoa. Tazama sura |