1 Mambo ya Nyakati 23:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Akawakusanya wakuu wote wa Israeli, pamoja na makuhani na Walawi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Mfalme Daudi aliwakusanya wakuu wote wa Israeli, makuhani na Walawi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Mfalme Daudi aliwakusanya wakuu wote wa Israeli, makuhani na Walawi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Mfalme Daudi aliwakusanya wakuu wote wa Israeli, makuhani na Walawi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Pia akawakusanya viongozi wote wa Israeli, pamoja na makuhani na Walawi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Pia akawakusanya pamoja viongozi wote wa Israeli, pamoja na makuhani na Walawi. Tazama sura |
Kisha Daudi akawakusanya huko Yerusalemu wakuu wote wa Israeli, wakuu wa kabila, na makamanda wa vikosi wenye kumtumikia mfalme kwa zamu, na makamanda wa maelfu, na makamanda wa mamia, na wenye kutawala juu ya mali na milki za mfalme, na za wanawe, pamoja na matowashi, na mashujaa, naam, wanaume mashujaa wote.