1 Mambo ya Nyakati 23:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Wana wa Hebroni; Yeria mkuu wao, Amaria wa pili, Yahazieli wa tatu, na Yekameamu wa nne. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Wana wa Hebroni walikuwa wanne: Mkuu wao alikuwa Yeria, wa pili Amaria, wa tatu Yahazieli na wa nne Yekameamu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Wana wa Hebroni walikuwa wanne: Mkuu wao alikuwa Yeria, wa pili Amaria, wa tatu Yahazieli na wa nne Yekameamu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Wana wa Hebroni walikuwa wanne: mkuu wao alikuwa Yeria, wa pili Amaria, wa tatu Yahazieli na wa nne Yekameamu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Wana wa Hebroni walikuwa: Yeria alikuwa wa kwanza, wa pili Amaria, wa tatu Yahazieli, na wa nne Yekameamu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Wana wa Hebroni walikuwa: Yeria alikuwa wa kwanza, wa pili Amaria, wa tatu Yahazieli, na wa nne Yekameamu. Tazama sura |