Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 23:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 Lakini kwa habari za Musa, mtu wa Mungu, wanawe hutajwa miongoni mwa kabila la Lawi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Lakini wana wa Mose, mtu wa Mungu, hutajwa miongoni mwa kabila la Lawi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Lakini wana wa Mose, mtu wa Mungu, hutajwa miongoni mwa kabila la Lawi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Lakini wana wa Mose, mtu wa Mungu, hutajwa miongoni mwa kabila la Lawi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Wana wa Musa mtu wa Mungu walihesabiwa kama sehemu ya kabila la Lawi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Wana wa Musa mtu wa Mungu walihesabiwa kama sehemu ya kabila la Lawi.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 23:14
7 Marejeleo ya Msalaba  

Wana wa Musa; Gershomu na Eliezeri.


Wakasimama mahali pao kwa taratibu yao, kulingana na Torati ya Musa, mtu wa Mungu; nao makuhani wakainyunyiza damu, waliyoipokea mikononi mwa Walawi.


Ndipo akasimama Yoshua, mwana wa Yosadaki, na ndugu zake makuhani, na Zerubabeli, mwana wa Shealtieli, na ndugu zake, nao wakaijenga madhabahu ya Mungu wa Israeli, ili kutoa sadaka za kuteketezwa juu yake, kama ilivyoandikwa katika Torati ya Musa, mtu wa Mungu.


Wewe, Bwana, umekuwa makao yetu, Kizazi baada ya kizazi.


Hii ndiyo baraka ya Musa, huyo mtu wa Mungu, aliyowabarikia wana wa Israeli kabla ya kufa kwake.


Wakati huo wana wa Yuda walimwendea Yoshua hapo Gilgali; na Kalebu, mwana wa Yefune, huyo Mkenizi, akamwambia, Wewe wajua hilo neno BWANA alilomwambia Musa, huyo mtu wa Mungu, katika habari zangu, na katika habari zako wewe, tulipokuwa katika Kadesh-barnea.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo