Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 23:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 Wana wa Kohathi; Amramu, Ishari, Hebroni, na Uzieli, watu wanne.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Wana wa Kohathi walikuwa wanne: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Wana wa Kohathi walikuwa wanne: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Wana wa Kohathi walikuwa wanne: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Wana wa Kohathi walikuwa: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli: wanne kwa jumla.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Wana wa Kohathi walikuwa wanne: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 23:12
7 Marejeleo ya Msalaba  

Naye Yahathi alikuwa mkubwa wao, na Zina alikuwa wa pili; lakini Yeushi na Beria hawakuwa na wana wengi; basi wakahesabiwa pamoja kama ukoo mmoja.


Wana wa Amramu; Haruni na Musa; naye Haruni akatengwa, ili ayatakase yaliyo matakatifu sana, yeye na wanawe milele, ili kufukiza uvumba mbele za BWANA, kumtumikia, na kubariki kwa jina lake, milele.


Na wana wa Kohathi; Amramu, na Ishari, na Hebroni, na Uzieli.


Na wana wa Amramu; Haruni, na Musa, na Miriamu. Na wana wa Haruni; Nadabu, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari.


Na wana wa Kohathi; ni Amramu, na Ishari, na Hebroni, na Uzieli; na miaka ya maisha ya huyo Kohathi ilikuwa ni miaka mia moja na thelathini na mitatu.


Hizi ndizo jamaa za Lawi; jamaa ya Walibni, na jamaa ya Wahebroni, na jamaa ya Wamala, na jamaa ya Wamushi jamaa ya Wakora. Na Kohathi alimzaa Amramu.


Na katika Kohathi ni jamaa ya Waamrami, na jamaa ya Waishari, na jamaa ya Wahebroni, na jamaa ya hao Wauzieli; hizo ni jamaa za Wakohathi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo