Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 23:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

10 Na wana wa Shimei; Yahathi, na Zina, na Yeushi, na Beria. Hao wanne walikuwa wana wa Shimei.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Wana wa Shimei walikuwa viongozi wanne: Yahathi, Zina, Yeushi na Beria.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Wana wa Shimei walikuwa viongozi wanne: Yahathi, Zina, Yeushi na Beria.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Wana wa Shimei walikuwa viongozi wanne: Yahathi, Zina, Yeushi na Beria.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Nao wana wa Shimei walikuwa: Yahathi, Zina, Yeushi na Beria. Hawa walikuwa wana wa Shimei: wanne kwa jumla.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Nao wana wa Shimei walikuwa wanne: Yahathi, Zina, Yeushi na Beria.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 23:10
3 Marejeleo ya Msalaba  

Naye Yahathi alikuwa mkubwa wao, na Zina alikuwa wa pili; lakini Yeushi na Beria hawakuwa na wana wengi; basi wakahesabiwa pamoja kama ukoo mmoja.


Wana wa Shimei; Shelomothi, na Hazieli, na Harani, watatu. Hao walikuwa vichwa vya koo za baba za Ladani.


jamaa ya nyumba ya Lawi peke yao, na wake zao peke yao; jamaa ya nyumba ya Shimei peke yao, na wake zao peke yao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo