1 Mambo ya Nyakati 23:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Basi Daudi alipokuwa mzee kwa kuishi siku nyingi; alimtawaza mwanawe Sulemani awe mfalme wa Waisraeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Daudi alipokuwa mzee wa miaka mingi, alimtawaza Solomoni mwanawe awe mfalme wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Daudi alipokuwa mzee wa miaka mingi, alimtawaza Solomoni mwanawe awe mfalme wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Daudi alipokuwa mzee wa miaka mingi, alimtawaza Solomoni mwanawe awe mfalme wa Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Daudi alipokuwa mzee aliyeshiba siku, akamfanya Sulemani mwanawe kuwa mfalme juu ya Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Daudi alipokuwa mzee aliyeshiba siku, akamfanya Sulemani mwanawe kuwa mfalme juu ya Israeli. Tazama sura |