1 Mambo ya Nyakati 22:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Ndipo akamwita Sulemani mwanawe, akamwagiza amjengee BWANA, Mungu wa Israeli, nyumba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Ndipo Daudi akamwita Solomoni mwanawe, akamwagiza amjengee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli nyumba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Ndipo Daudi akamwita Solomoni mwanawe, akamwagiza amjengee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli nyumba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Ndipo Daudi akamwita Solomoni mwanawe, akamwagiza amjengee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli nyumba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Kisha akamwita Sulemani mwanawe, akamwagiza kujenga nyumba kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Kisha akamwita Sulemani mwanawe akamwagiza kujenga nyumba kwa ajili ya bwana, Mungu wa Israeli. Tazama sura |