Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 22:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 Tena Daudi akawaamuru viongozi wote wa Israeli, kwamba wamsaidie Sulemani mwanawe, akisema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Zaidi ya hayo, Daudi aliwaamuru viongozi wote wa Waisraeli wamsaidie Solomoni mwanawe, akisema,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Zaidi ya hayo, Daudi aliwaamuru viongozi wote wa Waisraeli wamsaidie Solomoni mwanawe, akisema,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Zaidi ya hayo, Daudi aliwaamuru viongozi wote wa Waisraeli wamsaidie Solomoni mwanawe, akisema,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Kisha Daudi akawaamuru viongozi wote wa Israeli wamsaidie Sulemani mwanawe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Kisha Daudi akawaamuru viongozi wote wa Israeli wamsaidie Sulemani mwanawe.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 22:17
7 Marejeleo ya Msalaba  

Je! Si BWANA, Mungu wenu, aliye pamoja nanyi? Na kuwapa amani pande zote? Kwa kuwa wenyeji wa nchi amewatia mkononi mwangu; nayo nchi imetiishwa mbele za BWANA, na mbele ya watu wake.


Na tazama, hizo zamu za makuhani na Walawi ziko, kwa utumishi wote wa nyumba ya Mungu; nao watakuwapo pamoja nawe kwa kazi ya kila namna, kila mtu mwenye hiari, aliye stadi kwa utumishi wowote; tena maofisa na watu wote watakuwa chini ya amri yako kabisa.


Ndipo wakuu wa koo za mababa, na wakuu wa makabila ya Israeli, na makamanda wa maelfu na wa mamia, pamoja na wasimamizi wa kazi ya mfalme, wakajitoa kwa hiari yao;


Naam, nataka na wewe pia, mtumwa mwenzangu wa kweli, uwasaidie wanawake hao; kwa maana waliishindania Injili pamoja nami, na Klementi naye, na wale wengine waliofanya kazi pamoja nami, ambao majina yao yamo katika kitabu cha uzima.


Basi imetupasa sisi kuwakaribisha watu kama hao, ili tuwe watenda kazi pamoja na kweli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo