Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 22:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 BWANA na akupe busara na akili, akakuagizie juu ya Israeli; ili uishike Torati ya BWANA, Mungu wako.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Mwenyezi-Mungu akupe busara na akili ili atakapokupa uongozi juu ya Israeli, uzishike sheria zake Mwenyezi-Mungu, Mungu wako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Mwenyezi-Mungu akupe busara na akili ili atakapokupa uongozi juu ya Israeli, uzishike sheria zake Mwenyezi-Mungu, Mungu wako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Mwenyezi-Mungu akupe busara na akili ili atakapokupa uongozi juu ya Israeli, uzishike sheria zake Mwenyezi-Mungu, Mungu wako.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Mwenyezi Mungu na akupe hekima na ufahamu wakati atakuweka juu ya Israeli, ili uweze kuishika Torati ya Mwenyezi Mungu, Mungu wako.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 bwana na akupe hekima na ufahamu wakati atakuweka juu ya Israeli, ili uweze kuishika Torati ya bwana Mwenyezi Mungu wako.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 22:12
12 Marejeleo ya Msalaba  

uyashike mausia ya BWANA, Mungu wako, uende katika njia zake, uzishike sheria zake, na amri zake, na hukumu zake, na shuhuda zake, sawasawa na ilivyoandikwa katika Torati ya Musa, upate kufanikiwa katika kila ufanyalo, na kila utazamako;


Basi sasa nipe hekima na maarifa, nijue kutoka na kuingia mbele ya watu hawa; kwa kuwa ni nani awezaye kuwatawala watu wako hawa walio wengi?


Unifahamishe nami nitaishika sheria yako, Naam, nitaitii kwa moyo wangu wote.


Ee Mungu, mpe mfalme hukumu zako, Na mwana wa mfalme haki yako.


Akili za mwenye busara ni kujua njia yake; Lakini upumbavu wa wapumbavu ni udanganyifu.


kwa sababu mimi nitawapa kinywa na hekima ambayo watesi wenu wote hawataweza kushindana nayo wala kuipinga.


Zishikeni basi, mkazitende, maana hii ndiyo hekima yenu na akili zenu, machoni pa mataifa watakaozisikia amri hizi zote, nao watasema, Hakika taifa hili kubwa ni watu wenye hekima na akili.


Lakini mmoja wenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa.


Na katika hili tunajua ya kuwa tumemjua yeye, ikiwa tunashika amri zake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo