1 Mambo ya Nyakati 22:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Sasa mwanangu, BWANA na awe pamoja nawe; ukafanikiwe, na kuijenga nyumba ya BWANA, Mungu wako, kama alivyonena kuhusu habari zako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Sasa mwanangu, Mwenyezi-Mungu, Mungu wako na awe pamoja nawe ili ufaulu kumjengea nyumba kama alivyosema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Sasa mwanangu, Mwenyezi-Mungu, Mungu wako na awe pamoja nawe ili ufaulu kumjengea nyumba kama alivyosema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Sasa mwanangu, Mwenyezi-Mungu, Mungu wako na awe pamoja nawe ili ufaulu kumjengea nyumba kama alivyosema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 “Sasa, mwanangu, Mwenyezi Mungu awe pamoja nawe, nawe uwe na mafanikio upate kuijenga nyumba ya Mwenyezi Mungu, Mungu wako, kama alivyosema utafanya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 “Sasa, mwanangu, bwana awe pamoja nawe, nawe uwe na mafanikio upate kuijenga nyumba ya bwana Mwenyezi Mungu wako, kama alivyosema utafanya. Tazama sura |