Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 21:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

9 Naye BWANA akanena na Gadi, mwonaji wake Daudi, akisema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Basi, Mwenyezi-Mungu alisema na Gadi, mwonaji wa Daudi, akamwambia,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Basi, Mwenyezi-Mungu alisema na Gadi, mwonaji wa Daudi, akamwambia,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Basi, Mwenyezi-Mungu alisema na Gadi, mwonaji wa Daudi, akamwambia,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Mwenyezi Mungu akamwambia Gadi, mwonaji wa Daudi,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 bwana akamwambia Gadi, mwonaji wa Daudi,

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 21:9
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na Daudi alipoondoka asubuhi, neno la BWANA likamjia nabii Gadi, mwonaji wake Daudi, na kusema,


Nenda ukanene na Daudi, ukisema, BWANA asema hivi, Nakuwekea mambo matatu; katika haya ujichagulie moja, nikutendee hilo.


hao wote ndio wana wa Hemani, mwonaji wa mfalme, kwa maneno ya Mungu, ili kuinua pembe. Naye Mungu akampa Hemani wana kumi na wanne na binti watatu.


Basi habari za mfalme Daudi, mwanzo hadi mwisho, angalia, zimeandikwa katika kumbukumbu za Samweli, mwonaji, na katika kumbukumbu za Nathani, nabii, na katika kumbukumbu za Gadi, mwonaji;


Akawasimamisha Walawi nyumbani mwa BWANA wenye matoazi, wenye vinanda, na wenye vinubi, kama alivyoamuru Daudi, na Gadi mwonaji wa mfalme, na Nathani nabii; kwani BWANA aliamuru hivi kwa manabii wake.


Kisha nabii Gadi akamwambia Daudi, Usikae hapa ngomeni; ondoka, ukaende mpaka nchi ya Yuda. Ndipo Daudi akaondoka, akaenda zake, akakaa katika msitu wa Herethi.


(Hapo zamani katika Israeli, mtu alipokwenda kuuliza neno kwa Mungu, husema hivi, Haya! Twende kwa mwonaji; maana mtu aitwaye sasa Nabii hapo zamani aliitwa Mwonaji.)


Tufuate:

Matangazo


Matangazo