1 Mambo ya Nyakati 21:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Lakini Lawi na Benyamini hakuwahesabu miongoni mwao; kwa sababu neno la mfalme limemchukiza Yoabu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Lakini Yoabu hakuwahesabu Walawi na Wabenyamini, kwa sababu alichukizwa sana na amri ya mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Lakini Yoabu hakuwahesabu Walawi na Wabenyamini, kwa sababu alichukizwa sana na amri ya mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Lakini Yoabu hakuwahesabu Walawi na Wabenyamini, kwa sababu alichukizwa sana na amri ya mfalme. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Lakini Yoabu hakuwahesabu Walawi na Wabenyamini, kwa sababu alichukizwa sana na amri ya mfalme. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Lakini Yoabu hakuwahesabu Walawi na Wabenyamini, kwa sababu alichukizwa sana na amri ya mfalme. Tazama sura |