Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 21:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

27 BWANA naye akamwamuru malaika; naye akaurudisha upanga wake alani mwake tena.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Halafu, Mwenyezi-Mungu alimwamuru malaika, naye akaweka upanga wake alani mwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Halafu, Mwenyezi-Mungu alimwamuru malaika, naye akaweka upanga wake alani mwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Halafu, Mwenyezi-Mungu alimwamuru malaika, naye akaweka upanga wake alani mwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Kisha Mwenyezi Mungu akanena na yule malaika, naye akarudisha upanga wake katika ala yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Kisha bwana akanena na yule malaika, naye akarudisha upanga wake katika ala yake.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 21:27
12 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini huyo malaika aliponyosha mkono wake kuelekea Yerusalemu ili auharibu, BWANA akaghairi katika mabaya, akamwambia huyo malaika mwenye kuwaharibu watu, Yatosha, sasa ulegeze mkono wako. Naye yule malaika wa BWANA alikuwako karibu na kiwanja cha kupuria cha Arauna, Myebusi.


miaka mitatu ya njaa; au miezi mitatu kuangamia mbele ya adui zako, ukipatwa na upanga wa watesi wako; au siku tatu upanga wa BWANA, yaani tauni katika nchi, na malaika wa BWANA akiharibu kati ya mipaka yote ya Israeli. Haya basi ufikiri ni jawabu gani nimrudishie yeye aliyenituma.


Arauna alipogeuka, na kumwona yule malaika, ndipo yeye na wanawe wanne waliokuwa pamoja naye wakajificha. Naye Arauna alikuwa akipura ngano.


Kisha Daudi akamjengea BWANA madhabahu huko, akatoa sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani, akamlingana BWANA; naye akamwitikia kutoka mbinguni kwa moto juu ya madhabahu hiyo ya sadaka ya kuteketezwa.


Wakati huo, Daudi alipoona ya kwamba BWANA amemwitikia katika kiwanja cha Arauna, Myebusi, ndipo alipotoa dhabihu huko.


Mhimidini BWANA, enyi malaika zake, Ninyi mlio hodari, mtendao neno lake, Mkiisikiliza sauti ya neno lake.


Ee upanga wa BWANA, Siku ngapi zitapita kabla hujatulia? Ujitie katika ala yako; Pumzika, utulie.


Uurudishe alani mwake. Mahali pale ulipoumbwa, katika nchi uliyozaliwa; nitakuhukumu wewe.


Ndipo Yesu akamwambia, Rudisha upanga wako mahali pake, maana wote waushikao upanga, wataangamia kwa upanga.


Basi Yesu akamwambia Petro, Rudisha upanga alani mwake; je! Kikombe alichonipa Baba, mimi nisikinywee?


Je! Hao wote si roho watumikao, wakitumwa kuwahudumia wale watakaourithi wokovu?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo