1 Mambo ya Nyakati 21:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Basi Daudi akampimia Arauna thamani ya mahali pale shekeli mia sita za dhahabu kwa uzani Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Hivyo, Daudi alimlipa Ornani kwa kumpimia shekeli 600 kamili za dhahabu kulipia uwanja huo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Hivyo, Daudi alimlipa Ornani kwa kumpimia shekeli 600 kamili za dhahabu kulipia uwanja huo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Hivyo, Daudi alimlipa Ornani kwa kumpimia shekeli 600 kamili za dhahabu kulipia uwanja huo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Basi Daudi akamlipa Arauna shekeli mia sita za dhahabu kwa ajili ya ule uwanja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Basi Daudi akamlipa Arauna shekeli za dhahabu 600 kwa ajili ya ule uwanja. Tazama sura |