Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 21:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Arauna alipogeuka, na kumwona yule malaika, ndipo yeye na wanawe wanne waliokuwa pamoja naye wakajificha. Naye Arauna alikuwa akipura ngano.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Ornani alipogeuka na kumwona yule malaika, ndipo yeye na wanawe wanne waliokuwa pamoja naye wakajificha. Naye Ornani alikuwa akipura ngano.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Ornani alipogeuka na kumwona yule malaika, ndipo yeye na wanawe wanne waliokuwa pamoja naye wakajificha. Naye Ornani alikuwa akipura ngano.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Ornani alipogeuka na kumwona yule malaika, ndipo yeye na wanawe wanne waliokuwa pamoja naye wakajificha. Naye Ornani alikuwa akipura ngano.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Arauna alipokuwa akipura ngano, akageuka, akamwona yule malaika. Wanawe wanne waliokuwa pamoja naye wakajificha.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Arauna alipokuwa akipura ngano, akageuka akamwona yule malaika. Wanawe wanne waliokuwa pamoja naye wakajificha, yeye akaendelea kupura ngano.

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 21:20
3 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Daudi akakwea kulingana na neno la Gadi, alilolinena kwa jina la BWANA.

Basi Daudi alipokuwa akimjia Arauna, Arauna akatazama, akamwona Daudi, akatoka katika kile kiwanja, akamsujudia Daudi kifudifudi hadi chini.

Malaika wa BWANA akaenda akaketi chini ya mwaloni uliokuwa katika Ofra, uliokuwa mali yake Yoashi, Mwaabiezeri; na mwanawe Gideoni alikuwa akipepeta ngano ndani ya shinikizo, ili kuificha machoni pa Wamidiani.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo