Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 21:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

19 Basi Daudi akakwea kulingana na neno la Gadi, alilolinena kwa jina la BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Daudi akatii amri ya Mwenyezi-Mungu, akapanda juu kufuatana na neno la Gadi alilosema kwa jina la Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Daudi akatii amri ya Mwenyezi-Mungu, akapanda juu kufuatana na neno la Gadi alilosema kwa jina la Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Daudi akatii amri ya Mwenyezi-Mungu, akapanda juu kufuatana na neno la Gadi alilosema kwa jina la Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Kwa hiyo Daudi akakwea, akalitii lile neno ambalo Gadi alikuwa amelisema katika jina la Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Kwa hiyo Daudi akakwea, akalitii lile neno ambalo Gadi alikuwa amelisema katika jina la bwana.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 21:19
5 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo huyo malaika wa BWANA akamwamuru Gadi kwamba amwambie Daudi, ya kuwa Daudi akwee, akamwinulie BWANA madhabahu katika kiwanja cha kupuria cha Arauna, Myebusi.


Arauna alipogeuka, na kumwona yule malaika, ndipo yeye na wanawe wanne waliokuwa pamoja naye wakajificha. Naye Arauna alikuwa akipura ngano.


Mamaye akawaambia watumishi, Lolote atakalowaambia, fanyeni.


Lakini simama, uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo