Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 21:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

18 Ndipo huyo malaika wa BWANA akamwamuru Gadi kwamba amwambie Daudi, ya kuwa Daudi akwee, akamwinulie BWANA madhabahu katika kiwanja cha kupuria cha Arauna, Myebusi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Ndipo malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwamuru Gadi amwambie Daudi aende amjengee Mwenyezi-Mungu madhabahu, katika kiwanja cha kupuria nafaka cha Ornani Myebusi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Ndipo malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwamuru Gadi amwambie Daudi aende amjengee Mwenyezi-Mungu madhabahu, katika kiwanja cha kupuria nafaka cha Ornani Myebusi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Ndipo malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwamuru Gadi amwambie Daudi aende amjengee Mwenyezi-Mungu madhabahu, katika kiwanja cha kupuria nafaka cha Ornani Myebusi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Kisha malaika wa Mwenyezi Mungu akamwamuru Gadi amwambie Daudi apande na kumjengea Mwenyezi Mungu madhabahu kwenye sakafu ya kupuria nafaka ya Arauna Myebusi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Kisha malaika wa bwana akamwamuru Gadi amwambie Daudi apande na kumjengea bwana madhabahu kwenye sakafu ya kupuria nafaka ya Arauna Myebusi.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 21:18
7 Marejeleo ya Msalaba  

Siku hiyo Gadi akamwendea Daudi, akamwambia, Haya! Kwea wewe, ukamwinulie BWANA madhabahu penye kiwanja cha Arauna, Myebusi.


Basi Gadi akamwendea Daudi, akamwambia, BWANA asema hivi, Jichagulie upendavyo;


Naye Mungu akatuma malaika aende Yerusalemu ili auangamize; naye alipokuwa tayari kuangamiza, BWANA akatazama, akaghairi katika mabaya, akamwambia malaika aharibuye, Basi yatosha; sasa ulegeze mkono wako. Naye malaika wa BWANA akasimama karibu na kiwanja cha kupuria cha Arauna, Myebusi.


Basi Daudi akakwea kulingana na neno la Gadi, alilolinena kwa jina la BWANA.


Ndipo Daudi akasema, Hii ndiyo nyumba ya BWANA Mungu, na hii ndiyo madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa kwa ajili ya Israeli.


Ndipo Sulemani akaanza kuijenga nyumba ya BWANA huko Yerusalemu, juu ya mlima Moria, pale BWANA alipomtokea Daudi babaye alipotengeza mahali pale alipoagiza Daudi, katika kiwanja cha kupuria cha Arauna Myebusi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo