Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 21:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 Basi BWANA akawaletea Israeli tauni; nao wakaanguka wa Israeli watu elfu sabini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Basi, Mwenyezi-Mungu akawaletea Waisraeli maradhi mabaya, ambayo yalisababisha vifo vya Waisraeli 70,000.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Basi, Mwenyezi-Mungu akawaletea Waisraeli maradhi mabaya, ambayo yalisababisha vifo vya Waisraeli 70,000.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Basi, Mwenyezi-Mungu akawaletea Waisraeli maradhi mabaya, ambayo yalisababisha vifo vya Waisraeli 70,000.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Basi Mwenyezi Mungu akatuma tauni katika Israeli, na wanaume elfu sabini wa Israeli wakafa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Basi bwana akatuma tauni katika Israeli, watu 70,000 wa Israeli wakafa.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 21:14
7 Marejeleo ya Msalaba  

Basi BWANA akawaletea Israeli tauni tangu asubuhi hadi wakati ulioamriwa; nao wakafa watu elfu sabini toka Dani mpaka Beer-sheba.


Ikawa usiku uo huo malaika wa BWANA alitoka, akakiingia kituo cha Waashuri, akawapiga watu mia moja themanini na tano elfu. Na watu walipoamka asubuhi na mapema, kumbe! Hao walikuwa maiti wote pia.


Yoabu, mwana wa Seruya, alianza kuwahesabu, lakini hakumaliza; na ghadhabu ikawapata Israeli kwa hayo; wala hesabu hiyo haikuingizwa katika kumbukumbu za mfalme Daudi.


Farao akaondoka usiku, yeye na watumishi wake wote, na Wamisri wote; pakawa na kilio kikuu katika Misri; maana hapakuwa na nyumba hata moja asimokufa mtu.


Nao waliokufa kwa pigo hilo idadi yao ilikuwa elfu ishirini na nne.


Basi BWANA aliwapiga baadhi ya watu wa Beth-shemeshi, kwa sababu wamechungulia ndani ya hilo sanduku la BWANA, wapata watu sabini, na watu elfu hamsini; nao watu wakalalamika, kwa kuwa BWANA amewapiga watu kwa uuaji mkuu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo