Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 21:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Basi Gadi akamwendea Daudi, akamwambia, BWANA asema hivi, Jichagulie upendavyo;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Hivyo Gadi akamwendea Daudi na kumwambia, “Mwenyezi-Mungu anasema hivi: Jichagulie mojawapo:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Hivyo Gadi akamwendea Daudi na kumwambia, “Mwenyezi-Mungu anasema hivi: Jichagulie mojawapo:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Hivyo Gadi akamwendea Daudi na kumwambia, “Mwenyezi-Mungu anasema hivi: Jichagulie mojawapo:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Kwa hiyo Gadi akamwendea Daudi akamwambia, “Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: ‘Chagua:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Kwa hiyo Gadi akamwendea Daudi akamwambia, “Hili ndilo bwana asemalo: ‘Chagua:

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 21:11
3 Marejeleo ya Msalaba  

Nenda ukanene na Daudi, ukisema, BWANA asema hivi, Nakuwekea mambo matatu; katika haya ujichagulie moja, nikutendee hilo.


miaka mitatu ya njaa; au miezi mitatu kuangamia mbele ya adui zako, ukipatwa na upanga wa watesi wako; au siku tatu upanga wa BWANA, yaani tauni katika nchi, na malaika wa BWANA akiharibu kati ya mipaka yote ya Israeli. Haya basi ufikiri ni jawabu gani nimrudishie yeye aliyenituma.


Sikiliza mashauri, ukapokee mafundisho, Upate kuwa na hekima siku zako za mwisho.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo