1 Mambo ya Nyakati 2:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Na wana wa Karmi; Akani, yule aliyewataabisha Israeli, kwa kuchukua kilichowekwa wakfu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Mwana wa Karmi, alikuwa Akari. Huyu aliwaletea Waisraeli taabu kwa sababu alijiwekea nyara zilizokuwa zimewekwa wakfu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Mwana wa Karmi, alikuwa Akari. Huyu aliwaletea Waisraeli taabu kwa sababu alijiwekea nyara zilizokuwa zimewekwa wakfu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Mwana wa Karmi, alikuwa Akari. Huyu aliwaletea Waisraeli taabu kwa sababu alijiwekea nyara zilizokuwa zimewekwa wakfu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Mwana wa Karmi alikuwa: Akari, ambaye alileta taabu kwa Waisraeli kwa kukiuka onyo la kutochukua vitu vilivyotengwa kwa ajili ya kuangamizwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Mwana wa Karmi alikuwa: Akari, ambaye alileta taabu kwa Waisraeli kwa kukiuka onyo la kutokuchukua vitu vilivyokuwa vimewekwa wakfu. Tazama sura |