1 Mambo ya Nyakati 2:52 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC52 Naye Shobali, babaye Kiriath-Yearimu, alikuwa na wana; Haroe, na nusu ya Wamenuhothi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema52 Shobali, mwanzilishi wa mji wa Kiriath-yearimu, alikuwa pia babu yao watu wa Haroe, na nusu ya wakazi wa mji wa Menuhothi, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND52 Shobali, mwanzilishi wa mji wa Kiriath-yearimu, alikuwa pia babu yao watu wa Haroe, na nusu ya wakazi wa mji wa Menuhothi, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza52 Shobali, mwanzilishi wa mji wa Kiriath-yearimu, alikuwa pia babu yao watu wa Haroe, na nusu ya wakazi wa mji wa Menuhothi, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu52 Wazao wa Shobali, baba yake Kiriath-Yearimu, walikuwa: Haroe, nusu ya Wamenuhothi, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu52 Wazao wa Shobali, baba yake Kiriath-Yearimu, walikuwa: Haroe, nusu ya wakazi wa mji wa Menuhothi, Tazama sura |