Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 2:46 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

46 Naye Efa, suria yake Kalebu, alimzaa Harani, na Mosa, na Gazezi; naye Harani akamzaa Gazezi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

46 Kalebu alikuwa na suria, jina lake Efa. Huyu alimzalia wana wengine watatu: Harani, Mosa na Gazezi. Harani alimzaa Gazezi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

46 Kalebu alikuwa na suria, jina lake Efa. Huyu alimzalia wana wengine watatu: Harani, Mosa na Gazezi. Harani alimzaa Gazezi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

46 Kalebu alikuwa na suria, jina lake Efa. Huyu alimzalia wana wengine watatu: Harani, Mosa na Gazezi. Harani alimzaa Gazezi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

46 Efa, suria wa Kalebu aliwazaa: Harani, Mosa na Gazezi. Harani alikuwa baba wa Gazezi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

46 Efa, suria wa Kalebu alikuwa mamaye Harani, Mosa na Gazezi. Harani alikuwa baba wa Gazezi.

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 2:46
4 Marejeleo ya Msalaba  

Na mwana wake Shamai alikuwa Maoni; na Maoni alikuwa babaye Beth-suri.

Na wana wa Yadai; Regemu, na Yothamu, na Geshani, na Peleti, na Efa, na Shaafu.

Naye Maaka, suria yake Kalebu, akamzalia Sheberi, na Tirhana.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo