Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 2:44 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

44 Naye Shema akamzaa Rahamu, babaye Yorkeamu; na Rekemu akamzaa Shamai.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

44 Shema alikuwa baba yake Rahamu na babu yake Rekemu. Rekemu nduguye Shema alimzaa Shamai,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

44 Shema alikuwa baba yake Rahamu na babu yake Rekemu. Rekemu nduguye Shema alimzaa Shamai,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

44 Shema alikuwa baba yake Rahamu na babu yake Rekemu. Rekemu nduguye Shema alimzaa Shamai,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

44 Shema alikuwa baba yake Rahamu na Rahamu alikuwa baba wa Yorkeamu na Rekemu alikuwa baba wa Shamai.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

44 Shema alikuwa baba yake Rahamu na Rahamu alikuwa baba wa Yorkeamu na Rekemu alikuwa baba wa Shamai.

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 2:44
2 Marejeleo ya Msalaba  

Na wana wa Hebroni; Kora, na Tapua, na Rekemu, na Shema.

Na mwana wake Shamai alikuwa Maoni; na Maoni alikuwa babaye Beth-suri.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo