1 Mambo ya Nyakati 2:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 Basi akamwoza binti yake aolewe na Yarha, mtumwa wake; naye akamzalia Atai. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Hivyo, Sheshani akamwoza Yarha mtumwa wake, mmoja wa binti zake, naye akamzalia mwana jina lake Atai. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Hivyo, Sheshani akamwoza Yarha mtumwa wake, mmoja wa binti zake, naye akamzalia mwana jina lake Atai. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Hivyo, Sheshani akamwoza Yarha mtumwa wake, mmoja wa binti zake, naye akamzalia mwana jina lake Atai. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Sheshani akamwoza huyu mtumishi wake Yarha binti yake, akamzalia mwana jina lake Atai. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Sheshani akamwoza huyu mtumishi wake Yarha binti yake, akamzalia mwana jina lake Atai. Tazama sura |