1 Mambo ya Nyakati 2:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC34 Basi huyo Sheshani alikuwa hana wana wa kiume, ila binti. Naye Sheshani alikuwa na mtumwa, Mmisri, jina lake akiitwa Yarha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Sheshani hakuwa na watoto wa kiume; alikuwa na binti tu. Hata hivyo, alikuwa na mtumwa wa Kimisri, jina lake Yarha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Sheshani hakuwa na watoto wa kiume; alikuwa na binti tu. Hata hivyo, alikuwa na mtumwa wa Kimisri, jina lake Yarha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Sheshani hakuwa na watoto wa kiume; alikuwa na binti tu. Hata hivyo, alikuwa na mtumwa wa Kimisri, jina lake Yarha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Sheshani hakuwa na watoto wa kiume, ila watoto wa kike tu. Alikuwa na mtumishi Mmisri aliyeitwa Yarha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Sheshani hakuwa na watoto wa kiume, ila wasichana tu. Alikuwa na mtumishi Mmisri aliyeitwa Yarha. Tazama sura |