Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 2:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

33 Na wana wa Yonathani; Pelethi, na Zaza. Hao ndio wana wa Yerameeli.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Yonathani alikuwa na wana wawili: Pelethi na Zaza. Wote hao ni wazawa wa Yerameeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Yonathani alikuwa na wana wawili: Pelethi na Zaza. Wote hao ni wazawa wa Yerameeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Yonathani alikuwa na wana wawili: Pelethi na Zaza. Wote hao ni wazawa wa Yerameeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 Wana wa Yonathani walikuwa: Pelethi na Zaza. Hao walikuwa wazao wa Yerameeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 Wana wa Yonathani walikuwa: Pelethi na Zaza. Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yerameeli.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 2:33
2 Marejeleo ya Msalaba  

Na wana wa Yada, nduguye Shamai; Yetheri, na Yonathani; naye Yetheri alipokufa hakuwa na watoto.


Basi huyo Sheshani alikuwa hana wana wa kiume, ila binti. Naye Sheshani alikuwa na mtumwa, Mmisri, jina lake akiitwa Yarha.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo