1 Mambo ya Nyakati 2:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Na wana wa Yada, nduguye Shamai; Yetheri, na Yonathani; naye Yetheri alipokufa hakuwa na watoto. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Yada, nduguye Shamai, alikuwa na wana wawili: Yetheri na Yonathani. Lakini Yetheri alifariki bila watoto. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Yada, nduguye Shamai, alikuwa na wana wawili: Yetheri na Yonathani. Lakini Yetheri alifariki bila watoto. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Yada, nduguye Shamai, alikuwa na wana wawili: Yetheri na Yonathani. Lakini Yetheri alifariki bila watoto. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Wana wa Yada, nduguye Shamai walikuwa: Yetheri na Yonathani. Yetheri alikufa bila kuzaa watoto. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Wana wa Yada, nduguye Shamai walikuwa: Yetheri na Yonathani. Yetheri alikufa bila kuzaa watoto. Tazama sura |