1 Mambo ya Nyakati 2:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Na mkewe Abishuri aliitwa jina lake Abihaili; naye akamzalia Abani, na Molidi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Abishuri alioa mke, jina lake Abihaili, naye akamzalia wana wawili: Abani na Molidi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Abishuri alioa mke, jina lake Abihaili, naye akamzalia wana wawili: Abani na Molidi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Abishuri alioa mke, jina lake Abihaili, naye akamzalia wana wawili: Abani na Molidi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Mke wa Abishuri aliitwa Abihaili, aliyemzalia Abani na Molidi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Mke wa Abishuri aliitwa Abihaili, ambaye alimzalia Abani na Molidi. Tazama sura |