Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 2:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

22 Na Segubu akamzaa Yairi, aliyekuwa mwenye miji ishirini na mitatu katika nchi ya Gileadi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Segubu alimzaa Yairi ambaye alitawala miji mikubwa ishirini na mitatu katika nchi ya Gileadi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Segubu alimzaa Yairi ambaye alitawala miji mikubwa ishirini na mitatu katika nchi ya Gileadi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Segubu alimzaa Yairi ambaye alitawala miji mikubwa ishirini na mitatu katika nchi ya Gileadi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Segubu akamzaa Yairi, ambaye alitawala miji ishirini na tatu katika Gileadi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Segubu akamzaa Yairi, ambaye alitawala miji ishirini na mitatu katika Gileadi.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 2:22
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na baadaye Hesroni akamwingilia binti wa Makiri, babaye Gileadi; ambaye alimtwaa alipokuwa na umri wa miaka sitini; naye akamzalia Segubu.


Na Geshuri na Aramu wakawapokonya miji ya Yairi, pamoja na Kenathi na miji yake, jumla yote miji sitini. Hao wote ni wana wa Makiri, babaye Gileadi.


Basi Musa akampa Makiri, mwana wa Manase, Gileadi, naye akakaa humo.


Kisha Yairi mwana wa Manase akaenda na kuvitwaa vijiji vya Gileadi. Akaviita jina lake Hawoth-yairi.


Yairi, mwana wa Manase, alitwaa nchi yote ya Argobu, hata mpaka wa Wageshuri na Wamaaka; akaziita nchi hizo Hawoth-yairi, kwa jina lake mwenyewe, hata hivi leo, maana, hizo nchi za Bashani.)


Na Makiri nilimpa Gileadi.


Na mpaka wao ulikuwa kutoka huko Mahanaimu, Bashani yote, na ufalme wote wa Ogu mfalme wa Bashani, na miji yote ya Yairi, iliyo katika Bashani, miji sitini;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo