Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 2:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Naye Huri akamzaa Uri; na Uri akamzaa Besaleli.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Huri alimzaa Uri, naye Uri akamzaa Besaleli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Huri alimzaa Uri, naye Uri akamzaa Besaleli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Huri alimzaa Uri, naye Uri akamzaa Besaleli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Huri akamzaa Uri, naye Uri akamzaa Bezaleli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Huri akamzaa Uri, Uri akamzaa Bezaleli.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 2:20
7 Marejeleo ya Msalaba  

Akafa Azuba, naye Kalebu akamtwaa Efrata, aliyemzalia Huri.


Na baadaye Hesroni akamwingilia binti wa Makiri, babaye Gileadi; ambaye alimtwaa alipokuwa na umri wa miaka sitini; naye akamzalia Segubu.


Tena madhabahu ya shaba, aliyoifanya Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, ilikuwako huko mbele ya maskani ya BWANA; Sulemani na kusanyiko wakaiendea.


Angalia, nimemwita kwa jina lake Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda;


Kisha Bezaleli akalifanya lile sanduku la mti wa mshita, urefu wake ulikuwa dhiraa mbili na nusu, na upana wake ulikuwa dhiraa moja na nusu, na kwenda juu kwake kulikuwa ni dhiraa moja na nusu;


Na Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda, akafanya yote BWANA aliyomwagiza Musa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo