Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Mambo ya Nyakati 2:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

19 Akafa Azuba, naye Kalebu akamtwaa Efrata, aliyemzalia Huri.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Azuba alipofariki, Kalebu alimwoa Efratha aliyemzalia Huri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Azuba alipofariki, Kalebu alimwoa Efratha aliyemzalia Huri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Azuba alipofariki, Kalebu alimwoa Efratha aliyemzalia Huri.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Azuba alipofariki, Kalebu akamwoa Efrata, aliyemzalia Huri.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Azuba alipofariki, Kalebu akamwoa Efrathi, ambaye alimzalia Huri.

Tazama sura Nakili




1 Mambo ya Nyakati 2:19
7 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Kalebu, mwana wa Hesroni, akazaliwa wana na mkewe Azuba, na Yeriothi, na hawa ndio wanawe wa kiume; Yesheri, na Shobabu, na Ardoni.


Naye Huri akamzaa Uri; na Uri akamzaa Besaleli.


Tena, baada ya kufa kwake Hesroni huko Kalebu-Efrata, ndipo Abia, mkewe Hesroni, alipomzalia Ashuri, babaye Teboa.


Hao walikuwa wana wa Kalebu. Wana wa Huri, mzaliwa wa kwanza wa Efrata; Shobali, babaye Kiriath-Yearimu;


na Penueli, babaye Gedori, na Ezeri, babaye Husha. Hao ndio wana wa Huri, mzaliwa wa kwanza wa Efrata, babaye Bethlehemu.


Basi Yoshua akafanya kama Musa alivyomwambia, akapigana na Amaleki; na Musa na Haruni na Huri wakapanda juu ya kile kilima.


Bali wewe, Bethlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako wewe atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli; ambaye asili yake imekuwa tangu zamani za kale, tangu milele.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo