1 Mambo ya Nyakati 19:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Wakatoka wana wa Amoni, wakajipanga kwa vita langoni pa mji; na hao wafalme waliokuja walikuwa peke yao uwanjani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Waamoni walitoka wakajipanga kwenye lango la mji, hali wale wafalme waliokuja walikuwa peke yao kwenye tambarare. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Waamoni walitoka wakajipanga kwenye lango la mji, hali wale wafalme waliokuja walikuwa peke yao kwenye tambarare. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Waamoni walitoka wakajipanga kwenye lango la mji, hali wale wafalme waliokuja walikuwa peke yao kwenye tambarare. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Waamoni wakatoka, wakajipanga wakiwa tayari kwa vita langoni la mji wao, wakati wale wafalme wengine waliokuja nao walijipanga kwa vita uwanjani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Waamoni wakatoka wakajipanga wakiwa tayari kwa vita langoni la mji wao, wakati wale wafalme wengine waliokuja nao walijipanga kwa vita uwanjani. Tazama sura |