1 Mambo ya Nyakati 19:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Basi Daudi aliposikia habari akamtuma Yoabu, na jeshi lote la mashujaa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Naye Daudi aliposikia habari hizo alimtuma Yoabu na jeshi lote la mashujaa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Naye Daudi aliposikia habari hizo alimtuma Yoabu na jeshi lote la mashujaa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Naye Daudi aliposikia habari hizo alimtuma Yoabu na jeshi lote la mashujaa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Daudi aliposikia jambo hili, akamtuma Yoabu na jeshi lote la wapiganaji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Daudi aliposikia jambo hili, akamtuma Yoabu na jeshi lote la wapiganaji. Tazama sura |