Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 19:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 Akasema, Washami wakiwa ni hodari mno kwangu, ndipo wewe utanisaidia; lakini wana wa Amoni wakiwa ni hodari mno kwako, ndipo mimi nitakusaidia wewe.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Yoabu akamwambia Abishai, “Ikiwa Waaramu wananizidi nguvu, utanisaidia; lakini kama Waamoni wanakuzidi nguvu, nitakuja kukusaidia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Yoabu akamwambia Abishai, “Ikiwa Waaramu wananizidi nguvu, utanisaidia; lakini kama Waamoni wanakuzidi nguvu, nitakuja kukusaidia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Yoabu akamwambia Abishai, “Ikiwa Waaramu wananizidi nguvu, utanisaidia; lakini kama Waamoni wanakuzidi nguvu, nitakuja kukusaidia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Yoabu akasema, “Kama Waaramu watanizidi nguvu, basi itakupasa wewe uniokoe; lakini kama Waamoni watakuzidi nguvu, basi mimi nitakuokoa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Yoabu akasema, “Kama Waaramu watanizidi nguvu, basi itakupasa wewe unisaidie; lakini kama Waamoni watakuzidi nguvu, basi mimi nitakusaidia.

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 19:12
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na hao watu waliosalia akawatia mikononi mwa Abishai, nduguye, nao wakajipanga juu ya wana wa Amoni.

Kuwa hodari, tuwe na ujasiri, kwa ajili ya watu wetu, na kwa ajili ya miji ya Mungu wetu; naye BWANA afanye yaliyo mema machoni pake.

basi mahali popote mtakaposikia sauti ya baragumu, kimbilieni kwetu; Mungu wetu atatupigania.

Mchukuliane mizigo na hivyo kuitimiza sheria ya Kristo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo