1 Mambo ya Nyakati 19:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Ikawa baada ya hayo, Nahashi, mfalme wa wana wa Amoni, akafa, akatawala mwanawe mahali pake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Ikawa baada ya hayo Nahashi, mfalme wa Waamoni akafariki; naye mwanawe akashika utawala. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Ikawa baada ya hayo Nahashi, mfalme wa Waamoni akafariki; naye mwanawe akashika utawala. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Ikawa baada ya hayo Nahashi, mfalme wa Waamoni akafariki; naye mwanawe akashika utawala. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Baada ya muda, Nahashi mfalme wa Waamoni akafa, na mwanawe akawa mfalme baada yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Baada ya muda, Nahashi mfalme wa Waamoni akafa, mwanawe akaingia mahali pake. Tazama sura |