Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Mambo ya Nyakati 18:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 Ndipo Daudi akaweka ngome katika Shamu ya Dameski; nao Washami wakawa watumwa wa Daudi, wakaleta zawadi. Naye BWANA akampa Daudi kushinda kila alikokwenda.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Halafu Daudi aliweka kambi za kijeshi katika mji wa Shamu ya Damasko. Basi Waaramu wakawa watumishi wake, na wakawa wanalipa kodi. Mwenyezi-Mungu alimpa Daudi ushindi kokote alikokwenda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Halafu Daudi aliweka kambi za kijeshi katika mji wa Shamu ya Damasko. Basi Waaramu wakawa watumishi wake, na wakawa wanalipa kodi. Mwenyezi-Mungu alimpa Daudi ushindi kokote alikokwenda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Halafu Daudi aliweka kambi za kijeshi katika mji wa Shamu ya Damasko. Basi Waaramu wakawa watumishi wake, na wakawa wanalipa kodi. Mwenyezi-Mungu alimpa Daudi ushindi kokote alikokwenda.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Daudi akaweka askari walinzi katika ufalme wa Waaramu huko Dameski. Basi Waaramu wakawa watumwa wa Daudi, na kumlipa ushuru. Mwenyezi Mungu akampa Daudi ushindi kote alipoenda.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Daudi akaweka askari walinzi katika ufalme wa Waaramu huko Dameski. Basi Waaramu wakawa watumwa wa Daudi, na kumlipa ushuru. bwana akampa Daudi ushindi kote alipokwenda.

Tazama sura Nakili

1 Mambo ya Nyakati 18:6
8 Marejeleo ya Msalaba  

nami nimekuwa pamoja nawe kila ulikokwenda, na kuwakatilia mbali adui zako wote mbele yako; nami nitakufanyia jina, kama jina la hao wakuu walioko duniani.

Akapiga Moabu; na hao Wamoabi wakawa watumishi wa Daudi wakaleta zawadi.

Na Washami wa Dameski walipokuja wamsaidie Hadadezeri, mfalme wa Soba, Daudi akapiga katika hao Washami watu elfu ishirini na mbili.

Tena Daudi akazitwaa ngao za dhahabu zilizovaliwa na watumishi wa Hadadezeri akazileta Yerusalemu.

BWANA atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele.

Farasi huwekwa tayari kwa siku ya vita; Lakini BWANA ndiye aletaye wokovu.

Naye Daudi akatenda kwa busara katika njia zake zote naye BWANA alikuwa pamoja naye.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo